Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako kuu, na mkono wako ulio hodari, na mkono wako ulionyoshwa; hao watakapokuja na kuomba wakiielekea nyumba hii; 2 Wafalme 6:32.

Thursday, 6 March 2014

PICHA ZA CHAFU ZAIVUNJA NDOA YA MSANII HUYU WA FILAMU



Ndoa  ya  msanii  maarufu  wa  kinigeria  ajulikanaye  kwa  jina  la  Uche Iwuji  imesambaratika  rasmi  kufuatia  picha  zake  za  uchi  kuvuja  mitandaoni....
Mrembo  huyo  ambaye  mungu  alimjalia  kupata  mtoto  mwezi  wa  nane  alikuwa  chini  ya  himaya  ya  Mr. Juwon Lawal  ambaye  ni  Mnigeria  mfanyabiashara  wa  kimataifa...
Katika  mahojiano  na  mitandao  ya  nchini  hiyo, Mr. Juwon Lawal   anadai  kuwa  akiwa  Uingereza  kibiashara  alipewa  taarifa  kuwa  mkewe  alikuwa  akigawa  penzi  kwa  meneja  mmoja  wa  benk.
Taarifa  hizo  zilikuwa  ni  mawasiliano  ya  BBM   ya  mke  wake  na  jamaa  ambapo ndani  yake  kulikuwa  na  picha  za  uchi  ambazo  alikuwa  akimtumia  meneja  huyo

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments: