Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako kuu, na mkono wako ulio hodari, na mkono wako ulionyoshwa; hao watakapokuja na kuomba wakiielekea nyumba hii; 2 Wafalme 6:32.

Wednesday, 14 May 2014

APOSTLE LIVINGSTONE BANJAGALA AILIPUA MADHABAU




Apostle Livingstone Banjagala akiwa anahubiri kuhusu "the eagle anointing."

Mtume na nabii Livingstone Banjagala ailipuia madhabau kwa ishara na miujiza siku ya jumapili alipokuwa anahubiri kuhusu "the eagle anointing." wengi waliponywa na kupokea miujiza yao ila aliamua kuitendea haki madhabahu kwa kuumbua wachawi.. hatimaye mchawi mmoja alishindwa kujizuia na kuchomoka kama risasi kisha kutokomea pasipojulikana ila wachawi wengine walitubu kwa Mungu na kusamehewa.

No comments: