hivi majuzi Kampuni ya google wametengeneza gari ambalo linajiendesha lenyewe, kwa kweli gari hilo ni la kuvutia na halina usukani, accelerator ya kukanyagia wala breki, lina jiendesha lenyewe na kufika mahali popote. gari hilo lina uwezo wa kusafiri hadi mile 25 kwa saa moja.
Angalia picha mbalimbali za gari hilo,
picha ya kibatan unachobonyeza na gari linakupeleka popote unapotakagari hizi zimetembea zaidi ya mail 700 000 zilipokuwa zikijaribiwa bila ajali yoyote
gari hili jipya lina tumia mwanga mara linapoanza mwendo ili kugundua ni nini kilicho karibu yake
gari hili ni kama magari mengine ya kawaida kwa hiyo google wameweka tahadhari kuwa linajiendesha ili linapotaka ku overtaka gari lolote iwe rahisi na pia gari lolote linapokuwa pembeni yake mbele yake au popote iwe rahisi kulitambua
gari hili likiwa limeegeshwa sehemu ya mlima kidogo kwa maonyesho
sehemu ya mbele inachunguza kilichoko mbele yake na mwendo gari linaotembea na piasehemu hii husaidia gari kupunguza mwendo au kuongeza mwendo
ukiangalia sehemu ya ndani kuna camera zinazo sensi pamoja na dashbod inayofanya kazi kama kawaida hiki kibutton chekundu hudhibiti gari nyuma na ndio kama kompyuta ambayo inaendesha gari lote sehemu yoyote
hii ni Camera ya juu ambayo hukamata kilochoko mbele ya gari na kuna sensor ambayo imeunganishwa huliambia gari ni nini cha kufanya kama kupunguza mwendo, kupita pembeni au kusimama
google wameprint kifaa kidogo kinachorecord ndani ya gari linapotumika pamoja na mazungumzo, pia google wanataka Abiria kujkubali mipaka yao na mashart.
Angalia video ya gari hilo
hili ni dogo lakini nalo lina mwendo
No comments:
Post a Comment