Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako kuu, na mkono wako ulio hodari, na mkono wako ulionyoshwa; hao watakapokuja na kuomba wakiielekea nyumba hii; 2 Wafalme 6:32.

Monday, 26 May 2014

MTOTO MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WAZAZI WAKE, AMEISHI DUNIANI MARA MBILI.


mtoto aliyewahi kuishi duniani,
The Boy Who Lived BeforeTangu alipoanza kuongea amekuwa akisimulia kuhusa Cameron na hadithi ya maisha yake aliyokuwa akiishi hapo kale juu ya kisiwa cha Hebrides kilichopo Barra kama mail 220 kutoka hapo wanapoishi sasa, anafafanua kwa undani utoto wake alipokuwa akiishi juu ya Kisiwa hicho na wazazi wake hapo zamani na kusema kuwa nyumba yao ilikuwa ya rangi nyeupe na kulikuwa na mbwa mwenye rangi nyeupe na nyeusi aliyekuwa akizurura kisiwani huko, mazungumzo yake pia hasa ni juu ya mama yake na ndugu zake saba pamoja na baba yake, Shanae Robertson,  ambaye alikufa alipokuwa akikimbia au kuruka juu ya gari.
Kitu cha ajabu ni kuwa mtoto huyu ana umri wa miaka mitano pekee lakini mambo anayoyasimulia ni ya ukweli na ni ya zamani sana. Mama wa mtoto huyu amekuwa na wasiwasi mkubwa sana hasa pale mtoto huyu anapoanza kulia na kusema anaitamani familia yake ya hapo kale.

Angalia Video ya mtoto huyu

No comments: