Thursday, 26 March 2015
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATEUA WABUNGE WAPYA
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri ya Muunganoi wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wabunge wawili(2) wapya wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Walioteuliwa ni Dkt. Grace Khwaya Puja na Bwana Innocent Sebba.
Rais amefanya uteuzi huu kw amamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muunganno wa Tanzania, ibara 66 (l) (e) ambapo amepewa mamlaka ya kuteua wabunge wasiozidi kumi (10). Uteuzi huu umekamilisha idadi ya wabunge ambao Mheshimiwa Rais amepewa kwa mujibu ya mamlaka aliyonayo kikatiba.
Wabunge ambao wameteuliwa ni ;
Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa
Mhe. Profesa Sospeter Mwijarubi Muhogo
Mhe. Dkt Asha Rose Migiro
Mhe. Janet Zebedayo Mbene
Mhe. Saada Salum Mkuya
Mhe. Zakhia Hamdani Meghji
Mhe. Shamsi Vuai Nahodha
Mhe. James Fransis Mbatia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment